News + Headlines

Jyckey anasema….

Jyckey anasema ya kwamba anafuraha kubwa,kutokana na Album yake mpia ambayo anasema itakuwa yenye kumariza hamu kwa wote wale ambao waliyo kuwa wakisubiriya Album yake East Afrika na pande zote za Afrika naza dunia..na pia kwa waliyo kuwa wakimpenda JC Matata baada yake kuaga dunia..Jyckey amezidi kusema ya kwamba hiyo Album yaitengeneza na mwanamziki mcheza vyombo maarufu kwajina yaitwa Désiré”Dezy” ambae ndiye amecheza guitar kwenye nyimbo nyingi za album ya Kidum..na wengine wote maarumu kutoka pande zote za dunia..Album hiyo itakuw na Tittles 12 ambazo zitakuwa ni vumbi na jasho..lakini tittle ya album yake amesema yakwamba itatangazwa karibuni..amesema yakwamba watakao shirikishwa kwenye hiyo album..nibaadhi ya waimbaji maarufu East Africa..haja taja ni nnchi gani waimbaji hayo watoka..lakini tena pia eti siyo zaidi ya watatu..Jyckey ameomba sana kwa wapendao mziki wote kutoka East Africa mpaka pande zote za dunia..akisema USIISHI BILA MZIKI..

Jyckeys Admin..

Date →
Jun 17
Tags →

Leave Your Comment