News

  • Jyckey anasema….

    Jyckey anasema ya kwamba anafuraha kubwa,kutokana na Album yake mpia ambayo anasema itakuwa yenye kumariza hamu kwa wote wale ambao waliyo kuwa wakisubiriya Album yake East Afrika na pande zote za Afrika naza dunia..na pia kwa waliyo kuwa wakimpenda JC